Suluhisho kwa Ulimwengu Unaopanda na Kukua
Mbegu • Mbolea • Chakula cha Mifugo • Ushauri Sahihi • Usimamiza wa Mashamba • Matrekta • Baada ya Mavuno
Kila kitu mkulima wa Tanzania anachohitaji ili kupanda zaidi na kupata faida zaidi.
Pembejeo bora pamoja na ushauri wa wataalamu bila malipo huko Morogoro, Mbeya na Songwe.
Urea, DAP, NPK, CAN, Booster, Chokaa mazao & mbolea za asili — vyote vinapatikana pamoja naushauri wa bure.
Upimaji udongo, uchunguzi wa shamba na mipango ya mbolea – huongeza mavuno kwa 30–40 %.
• Wakala wa kuuza matrekta
• Wakala wa CHCNAV - NX612 Precision Automated Steering System
– zinapatikana nchi nzima.
Mipango salama ya wakulima kusimamiwa uzalishaji kwenye masamba yao.
Mifuko • Kamba • Maturubai • Wanunuzi bora.
Kilosa mjini karibu na
Happy Oil Filling Station, Njia Panda
+255 76 304 2118
Mwambene Junction
Maduka Mapya
+255 67 557 0792/ +255 74 856 8027
Msongwa
Tunduma
+255 76 304 2118
Tembelea duka lolote la Smart Agro leo kwa bei nzuri na ushauri sahihi. Utasimulia.
WhatsApp Sasa→ +255 76 304 2118
Smart Agro Solutions Limited ni kampuni iliyosajiliwa Tanzania kwa ajili ya wakulima wa Tanzania. Tunatoa pembejeo bora, ushauri wa kilimo na usimamizi wenye tija wa mashamba.
Dhamira: Suluhisho za kilimo cha kisasa, cha uhakika na chenye faida.
Dira: Tanzania ya kisasa yenye chakula cha kutosha inayotegemea wakulima waliofanikiwa.